Daniel Bellemare (alizaliwa 1952)[1] ni muendesha mashtaka wa Kanada. Baada ya kufanya kazi mda mrefu kwenye mfumo wa Mahakama wa nchini Kanada alichaguliwa kama muendesha mashtaka katika United Nations Special Tribunal for Lebanon hadi 2012.[2]
Alishawahi kufanya kazi katika sehemu mbalimbali kwenye Serikali ya Kanada kama Mwanasheria mkuu msaidizi pamoja na mshauri wa Naibu waziri wa Sheria na Haki Kanada.[3][4]
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search